TIMIZA NDOTO


#MalipoYasiyoumiza kwa vifaa vyote, timiza ndoto yako kwa spidi yako ya kufanya malipo.

Kwanini Utumie Jiongeze

Bidhaa za uhakika

Jipatie bidhaa za kiwango cha juu kutoka kwa wauzaji waliothibitishwa na kuaminika. Tunahakikisha kuwa kila bidhaa inakidhi viwango vya ubora na inatoka kwa wasambazaji waliokaguliwa ili kukupa uhakika wa thamani ya fedha zako.

Malipo sambamba na kipato

Jipatie uhuru wa kulipa kwa utaratibu unaoendana na kipato chako. Tunatambua kuwa kila mtu ana vyanzo tofauti vya mapato na changamoto zake, Jiongeze inaokuwezesha kumiliki bidhaa bila kuathiri bajeti yako ya kila siku.

Mkopo wa malipo

Hauhitaji kuahirisha ndoto zako kwa sababu ya kukwama kifedha. Tunashirikiana na taasisi za kifedha zinazotegemewa ili kukupa nafasi ya mkopo wa kumalizia malipo pale unapohitaji msaada wa ziada.